TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, January 10, 2013

NICK MINAJI AUSIFU MKANDA WAKE WA NGONO KWA KUMALIZA BEEF NA MARIAH CAREY




























Ile vita ya maneno kati ya first lady wa YMCM Nicki Minaj na the R&B Diva Mariah Carey ni kama imekwisha baada ya ku-make headlines kwa muda mrefu na kuteka attention ya watu mbalimbali.

Nicki Minaj mwenyewe amefunguka kuwa anaupa credit mkanda wake wa ngono kwa kusaidia kuizima hii beef hasa kwa sababu ilipunguza tensions wakati wa kurekodi "American Idol".

"Touch My Body" hitmaker Mariah Carey na Nicki Minaj pamoja na majaji wenzao kwa pamoja walikuwa wanaendelea na kazi yao na walikuwa na muonekano tofauti kabisaa na ule wa zamani ambao ulitawaliwa na kununiana ama kurushiana maneno kati ya wasichana hao mastaa.

Wanasema sio rahisi wasichana kusifiana mbele za watu lakini hii haikuwa hivyo kwa mastaa hawa, Nicki Minaj alisubiri wakati umati wa watu wakivuta pumzi na akafunguka kumsifia Mariah na kumuita 'One of her favourite all-time artists and shaper of a generation of singer". 
 
Hii iliwasuprise wengi, Mariah Carey pia alionekana kama anataka kuongea kitu lakini ni kama alishindwa kuanza aanze vipi, na ghafla akaibuka na kuzungumzia kuhusu kufanya wimbo na Nicki Minaj na kwamba alijua tu kuwa Nicki Minaj ni msanii ambae angefika mbali. Carey akaipamba ngoma yao mpya kwa Ironic name, That single: "Up Out My face".

Mtu mmoja alionekana kushangaa na kuuliza imekuwaje walizinguana kiasi kile na ghafla wamepatana, rapper huyo wa kike alijibu huku akizungusha macho yake "Niliingiza mkanda wangu wa ngono, and there it is". Nicki Minaj anaendelea kuongelea mkanda wake wa ngono kama kitu kilichosaidia kuleta amani kati yao.

No comments:

Post a Comment