KIWANDA CHA CHEMI COTEX CHATEKETEA KWA MOTO
![]() |
| Kiwanda cha ChemiCotex kilichopo huko Africana njia ya Tegeta jijini Dar es Salaam kinawaka moto muda huu, saa kumi na mbili jioni. |
![]() |
| Wafanyakazi wa kiwanda hicho wakiwa nje ya jengo wakati moto ulipotokea na kuteketeza kiwanda hiccho , hata hivyo chanzo cha kutokea moto huo bado hakijajulikana. |


No comments:
Post a Comment