UGOMVI WA VIONGOZI WASABABISHA KANISA KUFUNGWA
Katika hali isiyo ya kawaida jeshi la polisi mkoa wa Ilala jijini Dar es
salaam limelazimika kupiga kambi katika eneo lililopo kanisa la
Morovian Tanzania jimbo la mashariki usharika wa Tabata, kutokana na
uwepo wa mgogoro wa uongozi wa kanisa hilo jambo lililowafanya waamini
wa kanisa hilo kushindwa kufanya ibada kama ilivyo ada baada ya upande
mmoja wa uongozi kufunga milango ya Kanisa hilo na kuondoka na funguo.
No comments:
Post a Comment