TUTHAMINI BIDHAA ZANAZOTOKANA NA MALIGHAFI ZA NDANI
| Gift Shop ni duka linalouza vitu vya asili zinazotokana na malighafi za ndani, duka hilo lipo Serena Hotel Posta |
| Hizo ni pochi za kisasa zilizotengenezwa na khanga na Vitenge zinapendeza kwa mwanamke yeyote kubeba |
| Pochi hizo ushindwe wewe kupendeza |
| Urembo wa shingoni |
| Mapambo ya ndani |
| Mavazi |
| Vinyago hivyo vinapendeza kuweka ndani ya nyumba yako, jali chako |
| Vitabu na magazeti mbalimbali vinapatikana hapo, kwa wale wageni magazeti ya Guardian na Nipashe yapo hapo |
| Yote hayo utayapata Gift Shop ukiwa katika hotel ya Serena |
No comments:
Post a Comment