TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Friday, January 18, 2013

MAANDAMANO NA MGOMO UMEINGIA KWA WASANII WA FILAMU NCHINI























Wasanii wa tasinia ya filamu na maigizo nchini wameoneshwa kukerwa na kauli iliyokuwa ikitolewa mara kwa mara na Katibu Mtendaji wa bodi ya filamu nchini Bi. Joyce Fisoo kuwa hawana elimu ya kutosha, Aidha wameamua kuandamana kwa kumtaka Mtendaji huyo kuachia ngazi katika nafasi yake hiyo.

No comments:

Post a Comment