PILIKA PILIKA ZA WEEK END BAGAMOYO HIYO
| Majengo ya shule Mjini Bagamoyo |
| Asilimia kubwa ya Watanzania hapo zamani tumeishi kwenye nyumba hizi kabla ya kujenga nyumba za matofali |
| Mazingira ukiyatunza yanapendeza jamani, tuache kukata miti ovyo |
| Hapa ni Bagamoyo feli kwa wale wapenzi wa samaki, |
| Msimu wa embe jamani |
| Watoto wakifurahia kuogelea |
No comments:
Post a Comment