TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, January 17, 2013

SHAKILA AKARIBIA KITWA MAMA
Shakila na baba mtoto mtarajiwa

 Msanii wa miondoko ya popo maarufu kwa jina la Shakira, sasa ni mja mzito. Wiki hii mwanadada huyu anayemirikiwa na mzazi mwenzie Gerard Pique, ameonekana kuwa na mimba kubwa na hivi karibuni watapata watoto.
Shakira alitamba sana na ngoma kibao kama "hips don't lie" na nyingine kibao, kwa sasa anamiaka 35.

No comments:

Post a Comment