TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, January 14, 2013

JAJI MKUU CHANDE,SPIKA MAKINDAWAONGOZA MAHAKAMA NA BUNGE KUTOA MAONI YA KATIBA
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman (wa pili kushoto) na Majaji wengine kutoka Mahakama ya Tanzania wakimsikiliza Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bi. Hanifa Masaninga akiwaeleza kuhusu uaandaaji wa maoni ya wananchi na kuwa katika mfumo wa taarifa rasmi (hansard) wakati Majaji hao walipotembelea ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment