TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, January 17, 2013

MICHELLE OBAMA AKICHEZA MUZIKI NA MTANGAZAJI - LEO IKIWA NI SIKU YAKE YA KUZALIWA

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama.Kwenye picha anaonekana akicheza na mtangazaji Ellen katika kipindi cha Ellen Degeneres.Michele Obama ambaye ni mama wa watoto wawili leo anatimiza miaka 49 ni First Lady Mmarekani mweusi kuingia mjengoni.
 Source:annapita.com

 

No comments:

Post a Comment