Picha 12 kutoka mitaa ya Japan baada ya kutokea mafuriko makubwa
Tanzania ni moja ya nchi zilizowahi
kushuhudia maafa ya mafuriko, uharibifu mkubwa kuanzia kwenye makazi ya
watu, miundombinu pamoja na watu kufariki ni matukio ambayo kila
ikitokea mafuriko basi lazima kuwe na stori kuhusu matukio ya aina hiyo.
September 11 2015 watu
wa Japan walijikuta wakiingia kwenye tatizo ambalo huenda siku moja
kabla hata hakuna aliyedhani kuna kitu cha aina hiyo kingewakuta…
mafuriko yaliikumba baadhi ya miji ndani ya Japan ikiwemo Jiji la Miyagi, watu wakajikuta wakipanda juu ya nyumba zao ili kusubiri msaada wa kuokolewa.
Katika Jiji la Joso,
wataalam wa masuala ya hali ya hewa wameshauri zaidi ya watu Milioni 3
kuhama makazi yao kutoka na maafa ambayo yametokea… watu saba
wamefariki, wengine 15 bado hawajapatikana na wengine 27 walipata
majeraha.
No comments:
Post a Comment