TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Friday, September 11, 2015

Huyu ndio Rais mwenye umri mdogo zaidi duniani…

.
.
Wakati headlines za Uchaguzi sasa zikuchukua nafasi kuanzia kwenye Magazeti, TV, Radio na sehemu nyingine za kutolea habari sio mbaya ukifahamu pia kuhusiana na Rais  ambaye anatajwa kuwa na umri  mdogo zaidi Duniani.
Rais wa Poland anaitwa Andrzej Duda ndio Rais ambaye anatajwa kuwa mwenye umri mdogo kuliko ma rais wote duniani, Rais huyo ana umri wa miaka 43 na kwa ma Rais wote Duniani waliochaguliwa katika chaguzi za kidemokrasia wanasema hakuna Rais  ambaye anaa umri kama huo au chini ya huo.
.
Rais huyo aliingia madaraka mwezi mei, 2015 akiwa ameshinda kwa zaidi ya 52% ya kura zote zilizopigwa, Duda alitimiza umri wa miaka 43 mwezi mei tarehe 16 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment