Kutana na pichaz nje mpaka ndani ya hoteli ambayo imetengenezwa kwa mchanga mwanzo mwisho
Biashara ya
utalii ingekuwaje kama Hoteli nyingi zingekuwa zimejengwa kwa mchanga!?
Vitu kama umeme na maji vingekuwa vinapatikana kweli?
Nimekutana na stori moja kutoka Netherlands inayoweka headlines nyingi sana kwenye nchi za Uingereza, wenyewe wamekuja na ubunifu mpya kabisa, ujenzi wa hoteli kwa kutumia mchanga!!
Hoteli hiyo ina kila kitu yani, vitanda, makabati, viti, meza mabafu, vyoo,umeme, madirisha na hata maji ya bomba! Kizuri zaidi kinachopatikana kwenye hii hoteli ni internet mtu wangu, unaambiwa jengo hili lina huduma ya Wi-Fi na watu wanaenjoy hii huduma bila shida yoyote!
Nimefanikiwa
kuzinasa picha 9, za muonekano wa nje na ndani wa hoteli hizi! Karibu
uzitazame hapa chini mtu wangu, yani ni mchanga mtupu uliotumika!!
No comments:
Post a Comment