Msimamo wa Juma Nature kwenye headlines za Uchaguzi 2015

Wakati siasa ikiendelea kuchukua 
Headline na baadhi ya mastaa wakionesha hisia zao na mapenzi yao kwa 
watu ambao ni wagombea kwa vyama mbali mbali, leo Msanii wa bongo fleva 
Juma Nature ameamua kuweka wazi kuhusu msimamo wake kwa chama 
anachokiunga mkono  kuwa ni Chama cha Mapinduzi (CCM)
Hii ni baada ya kusikika kwa watu mbali 
mbali kuwa Juma Nature amekuwa hana msimamo na kutokuonyesha muelekeo 
wake leo ameamua kufunguka.
No comments:
Post a Comment