PICHA 4 za mwonekano wa Uwanja mpya wa Klabu ya AC Milan ukikamilika..
Klabu nyingi zinazochezea Ligi Kuu Ulaya, au Klabu zenye majina makubwa Duniani ni ajabu kukuta Klabu haina Uwanja wake wa nyumbani wa michezo.. Man United wana wao wa Old Trafford, Chelsea wako pale darajani Stamford Bridge.
Klabu ya AC Milan kwa sasa wanautumia San Siro Stadium kama
uwanja wao wa nyumbani.. lakini good news kuhusu wao leo ni kwamba
Klabu hiyo ipo katika harakati za kujenga uwanja wake mpya ambao
utajengwa kisasa zaidi eneo la Portello, Jiji la Milan, Italy.
Uwezo wa Uwanja huu ni kuchukua
mashabiki 48,000 tu kwa wakati mmoja, upo katikati ya majengo makubwa
ikiwemo hoteli kadhaa pamoja na maduka ya huduma mbalimbali ambayo
yamezunguka uwanja huo.
Unaambiwa
teknolojia imehusika sana hapa.. jinsi ambavyo utajengwa utawekewa
soundproof ambazo zitazuia kwa kiasi kikubwa kelele za ndani ya Uwanja
zisitoke nje na kukera watu wengine.
No comments:
Post a Comment