JK AONGOZA MAZISHI YA KITENGA MKOANI MOROGORO
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete (pichani kati) na Waziri Mkuu Mh.Mizengo
Pinda (pichani shoto) wakishuhudia askari wa jeshi la Wananchi (JWTZ)
wakipiga risasi hewani kama sehemu ya heshima ya kumuaga aliyekuwa mkuu
wa wilaya mpya ya Kyerwa mkoani Kagera leo,Marehemu Luteni Kanali
Benedict Kitenga (mstaafu) huko kwenye makaburi ya Mlima Kola
Kigurunyembe mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU.(Muro)
No comments:
Post a Comment