TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, April 29, 2015

Idadi ya vifo iliyoripotiwa mpaka sasa kutokana na tetemeko la ardhi Nepal… #RIP

hemaa 
Stori ambayo kwa sasa imechukua headlines kwa wingi ni ile ya tetemeko la ardhi lililotokea Nepal na kuua idadi kubwa ya watu karibu na milima ya Everest.
Idadi ya watu ambao wamethibitishwa kufariki kutokana na tetemeko hilo lililotokea siku ya jumamosi iliyopita imeongezea na mpaka sasa ni watu zaidi ya 4,500 waliofariki.
Serikali ya nchi  hiyo imesema  zaidi ya watu 10,000 wamejeruhiwa.. Hali hiyo imewaelea na Serikali imehitaji msaada kutoka mataifa mengine.
nepal
police
Waziri Mkuu wa NepalSushil Koirala amesema mahitaji ya dharura yanayohitajika yakiwa ya mahema , chakula pamoja na maji.

No comments:

Post a Comment