TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, April 29, 2015

Kingine kikubwa kwenye HEADLINES ni hii stori ya uzinduzi wa Meli kubwa 2 za kivita DAR.

16
Kutoka Dar es Salaam leo April 28  2015 kingine ambacho kimechukua nafasi kubwa kwenye HEADLINES ni hii stori ya uzinduzi wa Meli kubwa mbili za Kivita ambazo zimezinduliwa na Rais Kikwete
Meli zimekabidhiwa kwa Kikosi cha Jeshi la Maji TZ Kigamboni.. Hapa unaweza kuona pichaz kutoka kwenye uzinduzi wa Meli hizo.
15
16
15
255

Meli hizi zitakuwa zikitumiwa kwenye patrol katika eneo la Bahari.
Picha zote kutoka:  issamichuzi.blogspot.com na tanzaniangovernment.blogspot.com.

No comments:

Post a Comment