Anna Malecela atembelea Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Elimu...
Naibu
waziri Anne Kilango Malecela akiongea na wafanyakazi wa Mamlaka ya Elimu
Tanzania(TEA) Jumatatu. Wa pili kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa
TEA Bw. Joel Laurent, na watatu kutoka kushoto ni Bi, Paulina Mkoma
kutoka wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Mhe. Anna Kilango Malecela
ametembelea Mamlaka ya Elimu Tanzania katika ziara yake ya kutembelea
Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. (Muro)
No comments:
Post a Comment