Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari
Mgeni
rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe
na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha mishumaa
maalumu kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.
Mratibu
Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21
ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na
Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania
yamefanyika jana ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mgeni
rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe
(wa pili kulia) akipata maelezo juu ya mwenendo wa mashauri toka ICTR
mara baada ya kuwasili kwenye Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja
wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania
yamefanyika jana ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam wakiwa
pichani.(P.T)
Waziri
wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe akizungumza
na wageni waalikwa katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji
ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa
kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika
jana ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.
Mgeni
rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe
na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura pamoja na meza kuu
wakiwa wamesimama kimya kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya
Kimbari.
Bendera
za mataifa mbalimbali zikipepea nusu mlingoti nje ya ukumbi wa Mlimani
City jijini Dar es Salaam, kuashiria tukio la kuwakumbuka raia wa Rwanda
waliouwawa mauaji ya kimbari.
Ofisa
Mkuu wa Utawala wa Mahakama ya Mauji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR), Sarah
Kilemi akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji
ya Kimbari.
Viongozi
na mabalozi mbalimbali wakiwa katika Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na
Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania
yamefanyika jana ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wanafunzi waliohudhuria Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa
Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania
yamefanyika jana ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam wakiwa
pichani.
Ofisa
Habari wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Stella Vuzo akitoa salamu za
shukrani kwa wageni waalikwa kwenye Maazimisho ya Miaka 21 ya
kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na
Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania
yamefanyika jana ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa
wageni waalikwa akitia saini katika daftari la wageni waalikwa katika
Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.
Balozi
wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura (kushoto) akimkaribisha
Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez katika Maazimisho ya Miaka 21 ya
kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.
Ofisa
Habari wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Bi. Usia Nkhoma akizungumza
katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.
Mwakilishi toka Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania, Lambert Sano
akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya
Kimbari.
Viongozi
na mabalozi mbalimbali wakiwa katika Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na
Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania
yamefanyika jana ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment