ROBINHO AUFATA MKWANJA KWENYE LIGI YA CHINA

Mpira 
pesa kila siku hili neno linazungumzwa, club za China zinaona fursa 
kubwa ya kufanya biashara na makampuni mbalimbali ambayo yapo China 
kwenye soka. Sasa wanachokifanya ni kuleta majina makubwa ndani ya ligi 
ya China ili kuongeza ushabiki na kuiweka ligi yao kwenye ubora wa 
kimataifa.
Hivi sasa
 club ya Guangzhou imemsajili mchezaji Robihno ambae amewai kucheza club
 ya Manchester city. Club hii pia inanolewa na kocha mzoefu Filipe 
Scorali. Robihno alikua anahusishwa sana na kujiunga na club ya huko Abu Dhabi ainaitwa Al Jazira.
Ukitaka 
kuona fursa kubwa ya kibiashara kwenye club ya China unaweza kuona 
kwamba Shanghai Shenhua pia wanalipa $14.5 million kwa Besiktas ili 
kumpata mchezaji wa Senegal Demba Ba
No comments:
Post a Comment