TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, July 2, 2015

Joto kali limerudi tena Uingereza leo, mara ya mwisho ilikuwa 2006

_83964840_liverpool
June 01 2015 story kutoka Uingereza inahusu record ya juu ya joto ambayo haijawahi kutokea kwa kipindi cha kama miaka 10 hivi.
Kiwango cha joto imefikia degrees 36 za Centigrade.. Kiwango hiki cha joto mara ya mwisho kilirekodiwa mwaka 2006, leo imetokea tena.. ninazo pichaz zinazoonesha hali ilivyo maeneo mbalimbali.
_83945157_dogs_in_car
Mbwa wameachwa kwenye gari, joto limezidi nao wanapata hewa kwa dirishani
_83964839_towels
Hawa wako zao wanaangalia Mashindano ya Tennis ya Wimbledon, imebidi wajifunike mataulo ili kujikinga na jua.
_83977995_skegness
e992ad13-e71f-4cb5-a854-07f531a5b6f7-2060x1348
Wengine wanajipooza kwenye swimming pool

No comments:

Post a Comment