TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Sunday, July 12, 2015

MEEK MILL AKANA KUMUIBA NICKI MINAJ 


Rapa Meek Mill.
New York Marekani
RAPA Meek Mill ameamua kufunguka kuwa hakumuiba mpenzi wake wa sasa, Nicki Minaj kutoka kwa mpenzi wake wa zamani, Safaree Samuels ambaye alidumu na Minaj kwa miaka 12.

Rapa Meek Mill akiwa na mpenzi wake Nick Minaj.
“Awali, sikuwa na mipango na Nick kabisa, uhusiano wetu umetokea tu na wala sihusiki katika kuvunjika kwa penzi lake na mpenzi wake wa zamani,” alisema Meek.

No comments:

Post a Comment