TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, April 9, 2014

Idadi ya tuhuma za rushwa mwaka 2013 kwa Dodoma pekee

Screen Shot 2014-04-09 at 12.28.35 AM
Hizi takwimu baada ya kupatikana zimetangazwa na Waziri wa nchi ofisi ya Rais utawala bora George Mkuchika ambae anasema ‘takwimu za rushwa Dodoma January mpakaDecember 2013 zinaonyesha kwamba jumla ya tuhuma 167 zilitolewa taarifa kwenye ofisi ya TAKUKURU’
‘Idara ya serikali ndizo zinazoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya tuhuma ambapo ni 132, mashirika ya Umma ni 35, sekta binafsi ni 5, Vyama vya siasa 5, watu binafsi 7 ambapo wanaoongoza kulalamikiwa ni Polisi, Mahakama na local goverment’

No comments:

Post a Comment