Hivi ndivyo hali ilivyo eneo la Jangwani April 13
Hili
ni eneo la Jangwani sehemu ambayo mara kadhaa inaponyesha mvua kubwa
hua inakumbwa na mafuriko kwa haraka kutokana na mto ulio eneo
hilo,millardayo.com ilipita eneo hilo ili kuangalia kinachoendelea kwa
sasa baada ya mvua kunyesha.
Serikali ya mtaa ya Jangwani imejichanga na kwa pamoja imeleta Kijiko
kwa ajili ya kuchimba ili maji yaliyokwama kwenye makazi ya watu yatoke
na watui kurejea majumbani kwao ambapo pia wame-amplify taarifa ya
kujaa kwa Camp zao ambazo waliziandaa kwa chochote kinachoweza kutokea.
Jumla ya Camp hizo ni 4 zilizopo eneo la Jangwani na kila Camp ina
watu wasiopungua 80,hizi ni picha za eneo la Jangwani lilivyo kwa siku
ya leo April 13.
Miongoni mwa viongozi wa Jangwani
No comments:
Post a Comment