BUNGE MAALUM LA KATIBA

Wajumbe
 wa Bunge Maalum la Katiba James Mbatia (kushoto), Mohamed Raza( wa pili
 kushoto) , Profesa Ibrahim Lipumba (wa pili kulia) na Freeman 
Mbowe(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa kikao cha 
ishirini na mbili cha Bunge Maalum la Katiba.

Mwenyekiti
 wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akisalimia wajumbe wa Bunge 
hilo  mara baada ya kikao kuharishwa leo mchana mjini Dodoma.

Baadhi wa wajumbe wa Bunge la Katiba wakitoka ukumbini baada ya kikao kuharishwa leo mchana mjini Dodoma
No comments:
Post a Comment