RAIS KIKWETE AONANA NA RAIS MSTAAFU WA NAMIBIA MHE SAM NUJOMA


Rais
 Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtembezea sehemu mbalimbali za Ikulu na 
Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma aliyemtembelea  hivi karibuni. Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru tarehe 26 Aprili, 2014. (FS)
No comments:
Post a Comment