TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Tuesday, April 8, 2014

Magari 13 yateketea yote baada ya moto kuwaka kwenye yadi.

gari
Magari 13 yametetekea yote na moto na mengine matatu kuungua sehemu kidogo baada ya moto kuwaka kwenye yadi ya Japan Auto Connection.
Moto huo ambao bado chanzo chake hakijajulikana lakini ndani ya yadi hiyo wamekuta kamba iliyozunguka chini ya magari yote na kufungwa mifuko ambayo ina harufu ya mafuta ya petrol.

No comments:

Post a Comment