WANACHUO WATEMBELEA KITUO CHA HALI YA HEWA UWANJA WA NDEGE DAR
Wanachuo wa Chuo cha Ualimu Vikindu wakiwa katika Kituo cha Mamlaka ya Hali ya Hewa ndani ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar leo kujifunza kwa vitendo somo la utabiri wa hali ya hewa.
Mtaalam kutoka kituo cha utabiri wa hali ya hewa akianza kuwapa darasa wanachuo hao.
Mtaalam akiwafundisha kitu wanachuo hao kuhusu kipima upepo kinachofahamika kitaalam kama 'Cap Container Anemometor'.(P.T)
Mtaalam akiwaelekeza wanachuo hao juu ya kipima mvua kinachofahamika kitaalam kama 'Rain Gauge'.
Muonekano wa eneo la kituo la utabiri wa hali ya hewa ndani ya uwanja huo.
Wanachuo wakiondoka katika kituo hicho baada ya kupata somo.
No comments:
Post a Comment