Marekani kusaidia kupambana na Ebola

Rais Barack Obama wa Marekani
Serikali ya Marekani imeahidi kusaidia mapambano dhidi ya Ebola.
Rais 
Barack Obama amesema nchi yake itapeleka vifaa vyake vya kijeshi ili 
kusaidia kupambana na ugonjwa huo uliozuka katika nchi za Afrika 
Magharibi.
Akizungumza
 katika kipindi cha televisheni ya NBC, nchini Marekani, Rais Obama 
amesema iwapo dunia haitachukua hatua za haraka, ugonjwa wa ebola 
utaweza kusambaa nje ya Afrika na kutishia usalama wa nchi yake.BBC
No comments:
Post a Comment