TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Friday, September 12, 2014

Mabibi na Mabwana… hawa ndio mastaa wengine wa Marekani walioitembelea Tanzania

Screen Shot 2014-09-12 at 1.56.17 AM 
Siku hizi stori za mastaa wa dunia kuja kuitembelea Tanzania sio moja wala mbili manake wamekua wakija wengi tu na hawaachi kuipa nchi hii matangazo ya bure kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii.
Screen Shot 2014-09-12 at 1.32.18 AM 
Mastaa wengine waliotua kwenye ardhi ya Jakaya time hii ni mwigizaji staa wa Marekani Gabrielle Union na mumewe Dwyane Wade mcheza kikapu wa Miami heat ambapo wameifanya Serengeti Tanzania kuwa sehemu nyingine waliyoitembelea duniani wakiwa kwenye honeymoon yao.

No comments:

Post a Comment