Picha kutoka kwa Beyonce jinsi alivyosherekea birthday ya mwanae Blue Ivy

Blue Ivy ametimiza miaka 2 tangu azaliwe na siku ya birthday yake Beyonce na Jay Z walikodi Zoo kwa ajili ya kusherekea pamoja na marafiki zao.
Beyonce kupitia mtandao ame-upload hizi picha wakiwa na rafiki zao wakisherekea miaka miwili ya mtoto Blue Ivy.









No comments:
Post a Comment