MATUKIO YA PICHA YA MKUTANO WA INJILI ULIOKUWA UKIFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA MAJOHE KWA WALIOBA
| Mchungaji Salome kutoka Kigamboni akihubili katika viwanja hivyo |
| Nabii Godson wa kanisa la Habari Njema na Mchungaji Neema wakiwa wanasikiliza mahubiri |
| Watu waliohudhuria mkutano huo wakisikiliza mafundisho |
| Watu wakisikiliza mafundisho |
| Nabii Godson akiombea maji ambayo watu walikuja nayo mkutanoni kwa ajili ya maombezi ya kufunguliwa matatizo mbalimbali |
| Mama akitoa ushuhuda baada ya kupokea uponyaji wa mguu uliokuwa ukimsumbua na kujikuta mzima baada ya maombezi |
| Shuhuda zikiwa zinaendelea mama huyo alikuwa akisumbuliwa na tumbo sasa anaendelea vizuri |
| Mama huyo nae alikuwa akisumbuliwa na tumbo nae amepokea uponyaji baada ya maombezi |
No comments:
Post a Comment