| Watu wakiwa wanajiachia |
| Muda wa misosi |
| Wadau wa habari makini wakiwa bize na mazungumzo, wamependeza sana |
| DK. Mengi akiwa anaingia kwenye ukumbi wa Diamond |
| DK. Mengi akiwa anaongea na vijana walioko nje ya geti |
| Askali wakiwa kazini kuzibiti fujo |
| Mkutugenzi wa The Guardian Kiondo Mshana (kulia) akiwa na wafanyakazi wengine |
| Mkurugenzi wa ITV Joyce Mhavile akiwa bize na maandalizi |
| Wawezeshaji wa team nzima ya blog ya habari makini |
| Mabosi wakibadilisha mawazo |
| Mary akiwa bize ukumbini kwa maandalizi |
| Watoto wa IPP wakiwa wametulia ukumbini wamepeza sana |
| Pendeza sana , Hongera Dk. Mengi Mungu akubariki kwa kuwawezesha shughuli nzima. |
No comments:
Post a Comment