TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Saturday, July 5, 2014

WAZIRI MKUU WA SENEGAL APIGWA KALAMU 

w460_5223e.jpg
Waziri mkuu wa Senegal Aminata Toure
Waziri mkuu nchini Senegal Aminata Toure ameachishwa kazi baada ya chama tawala kushindwa katika uchaguzi mkuu.
Maafisa wanasema kuwa Rais Macky Sall alimtaka kujiuzulu baada ya kuhudumu chini ya kipindi cha mwaka mmoja.
Waandishi wanasema kuwa kutorodhika kwa wanachi kuhusu sera za uchumi za serikali hiyo ndio sababu kuu ya chama hicho kushindwa katika uchaguzi huo.(P.T)

No comments:

Post a Comment