PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA MAKAMPUNI UA SOMITO NA CITI BANK
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Citi Bank ofisini
kwake jijini Dar es salaam Julai 23, 2014. Kulia kwake ni Waziri wa
Uchukuzi , Dr. Harrison Mwakyembe.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Citi
Bank baada ya kuzungumza nao , Ofisini kwake jijini Dar es salaam julai
23, 2014. kushoto ni Waziri wa Uchukuzi aliyemabatana na ujumbe huo na
kushoto kwa Waziri Mkuu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji
na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kampuni
ya Sumitomo Chemicals ya Japan wanaokusudia kuwekeza kiwanda cha
mbolea nchini na katika kilimo cha mpunga. Wapili kushoto ni Waziri wa
Kilimo , Chakula na Ushirika, Mhandishi Christopher Chiza.
No comments:
Post a Comment