WANAMICHEZO WALIOKUWA CHINA KUJIANDA NA MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA WAREJEA NCHINI
Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Michezo nchini Bw. Leonard Thadeo akisukuma mzizigo ya
baadhi ya makocha wa China waliombatana na Wanamichezo wa Tanzania
waliokuwa China kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa na mashindano ya
Olympic yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu mjini Glasgow
Scotland, Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo Bibi.
Juliana Yassoda akimpokea mmoja wa wanamichezo hao mara baada ya
kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam 

No comments:
Post a Comment