TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Saturday, July 5, 2014

RAIS JK AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA CHINA JENERALI CHANG WANQUAN IKULU 

D92A5139
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea na kufanya mazunguzmo na Waziri wa Ulinzi wa China na ujumbe wake Jenerali Chang Wanquan.Baadaye Jenerali huyo alimpa zawadi Rais Kikwete na wakapiga picha ya Pamoja

D92A5180
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazunguzmo na Waziri wa Ulinzi wa China na ujumbe wake Jenerali Chang Wanquan.

D92A5215
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi wa China na ujumbe wake Jenerali Chang Wanquan na viongozi wengine aliofiatana nao

 

No comments:

Post a Comment