WASHINDI WA REDD'S MISS KINONDONI KUZAWADIWA MAPAMBO YA MWAKA MZIMA
Mkuu
 wa Itifaki wa Miss Tanzania Albert Makoye akifungua mashindano ya 
Redd's Miss Kinondoni Talent, pembeni yake ni Ssebo ambaye ni mmoja kati
 ya mwanabodi wa Redd's Miss Kinondoni 2012 na alikuwa ni mshereheshaji 
katika shindano hilo lililofanyika katika hoteli ya JB Belmonte, iliyopo
 jengo la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mashindano hayo yalidhaminiwa 
na Perfect Lady Classic Saloon iliyopo Kinondoni jijini Dar na wametoa 
zawadi kwa washindi watatu waliopatikana kwa kupewa huduma kwa kipindi 
cha mwaka mzima ndani ya Saloon yao. Shindano rasmi la kumsaka Redd's 
Miss Kinondoni linatarajiwa kufanyika Ijumaa tarehe Septemba 14, 2012 
katika Ukumbi wa Cassa Complex uliopo Mikocheni, Dar
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mafunzo
No comments:
Post a Comment