TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Saturday, September 1, 2012

Dk. Mohammed Gharib Bilal Afanya Mazungumzo Na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri Iran 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Dk. Mohammad Reza Rahimi, walipokutana jana mjini Tehran na kuzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu uhusiano wa nchi zao
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dk. Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Serikali ya Tanzania uliohudhuri Mkutano wa  16 wa  Wakuu wa Nchi  za Siasa ya Kutofungamana na upande wowote uliomalizika jana mjini Tehran,  Iran.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment