Baadhi ya wanahabari wakitoka mahakamani
Askari
  anayetuhumiwa kumuua Daudi Mwangosi leo amefikishwa katika Mahakama ya
  wilaya ya mkoa wa Iringa na kusomewa mashitakata yake. Huku akiwa 
chini  ya ulinzi mkali ambao ulifanya wanahabari waliofika mahakamani 
kujitahid  kupata picha kwa ugumu.
Akisoma
  mashtaka mbele ya hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya Daines
  lymo mwendesha mashtaka ameeleza kuwa mtuhumiwa anaitwa Pacificus 
Cleophase  Simon (23)
Kutoka Francisgodwinblog 
No comments:
Post a Comment