TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Tuesday, September 11, 2012

WAANDISHI WA VYOMBO VYA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM WAMLILIA DAUDI MWANGOSI KWA KUFANYA MAANDANANO YA AMANI

























Waandishi wa vyombo vya habari wakiwa katika maandamano ya amani kwa kupinga mauaji ya kinyama  aliyefanyiwa mwandishi mwezao mwanzoni mwa mwezi huu katika maandano ya Chedema yaliyofanyika huko Iringa.
Aidha Maandamoano hayo yalifanyika kuanzia ofisi za Channel Ten hadi Jangwani ,ambapo ni kituo alichokuwa akifanyia kazi Marehemu Mwangosi.
Mwangosi alifikwa na umauti September 02,2012 akiwa katika eneo la kazi huko Iringa ambapo yalifanyika maandamano ya chama cha CHADEMA na kuvamiwa na askari polisi kisha kupigwa hadi kufa.
Aidha Sept 2 mwaka huu alizikwa katika kijiji cao cha Busoka Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya.

No comments:

Post a Comment