TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, September 17, 2012

MWAKYEMBE ATUA UJERUMANI KWA ZIARA YA SIKU 5 KIKAZI
Mhe. Waziri wa Miundo mbinu nchini Dk. Harison Mwakyembe na wajumbe wake wakiwa katika majadiliano na uongozi wa sekta ya usafiri wa anga nchini Ujerumani 


Mhe. Mwakyembe akiwa ndani ya ndege iliyokuwa katika maonesho

Mhe. Mwakyembe yupo nchini humo kwa ziara ya kikazi kwa muda wa siku tano la lengo la kusainiwa mkataba wa ushirikiano wa usafiri wa anga (Bilateral Air Services Agreement - BASA) baina ya nchi mbili Tanzania na Ujerumani. pia atatembelea maonyesho ya kimataifa ya sekta ya usafiri wa anga yanayofanyika Berlin.

No comments:

Post a Comment