TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, September 5, 2012

WANAHABARI IRINGA WAGOMA KUPOKEA RIPOTI YA AWALI YA MKUU WA UPELELEZI MAKOSA YA JINAI KUFUATIA KIFO CHA DAUDI MWANGOSI
Wanahabari wakiwa wamekusanyika
Wanahabari wa Iringa wakitoka nje ya ofisi wakiwa wamegoma

Wanahabari wa Iringa mchana wa leo wamegoma kupokea taarifa ya awali ya uchunguzi wa kifo cha Mwandishi Daudi Mwangosi, aliyeuawa juzi jumapili katika mkutano wa ndani wa Chadema uliokuwa ufanyike katika kijiji cha Nyololo Iringa. Mkuu huyo alikataa shariti la wandishi la kumtaka atoe taarifa hiyo bila kuwepo kwa polisi yeyote katika mkutano huo. Kitendo hicho cha mkuu huyo kukataa shariti  la wanahabari kikapelekea waandishi kutoka nje ya ukumbi huo.Hivyo zoezi hilo kushindikana.

Picha na habari ,Mjengwablog-Iringa.

No comments:

Post a Comment