KUPIMA KIMA CHA MAJI-MTO RUVU-DAKAWA
Muhandisi wa maji mto Ruvu-Dakawa Bw. Elibariki Mmasi akiwa amepanda katika mtambo wa maji akitoa kifaa cha kusoma kima cha maji katika mto huo. |
Eneo la mto wa Ruvu-Dakawa ambao maji yake hutiririka hadi mto Ruvu katika mkoa wa Pwana na baadae bahari ya Hindi |
Mto huo una umuhimu mkubwa sana kwani matumizi ya maji yake kwa sekunde ni takriban lita za ujazo 5600 kwa mujibu wa wataalamu wa mto huo.Aidha mto huoumekuwa ukitumiwa na wananchi waishio pembezoni kwa matumizi mbalimbali kama umwagiliaji, kunyweshea mifugo pamoja na matumizi ya nyumbani.
No comments:
Post a Comment