Bw. Konrad Thorisson toka Unated of Universities - Fisheries Trainning Programme (UNU -FTP) Kutoka nchini ICELAND akiendesha mafunzo hayo |
Maofisa hao wakimsikilinza mkufunzi wao kwa makini. |
Aidha mafunzo hayo yalikuwa na lengo la kuwafunza maofisa wa uvuvi jinsi ya kukusanya na kutunza vema takwimu za samaki nchini,Hata hivyo Bw. Abdallah Mposo alisema kuwa wa Bagamoyo takwimu za samaki zinaonyesha kushuka kwa kiwango kikubwa kutokana na uvuvi haramu ambao wanakabiliana na tatizo hilo kwa sasa.
Takwimu zinaonyesha kama ifuatavyo kwa Bagamoyo mwaka 2007 walivuna tani 2,700 za samaki mwaka 2008 tani 3,800 , mwaka 2009 tani 2,800 mwaka 2010 tani 2,941 mwaka 2011 tani 2,800.
Mafunzo hayo yalifanyika Bagamoyo.
No comments:
Post a Comment