TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, September 13, 2012

CHADEMA WAUNGURUMISHA MKUTANO - MWENGE

CHADEMA Imeendelea kuwatesa wapinzani wao CCM kwa kuendeleza kwa kasi kampeni yake ya VUA GAMBA VAA GWANDA,ambapo jana jioni kabisa Mwenyekiti Vijana (BAVICHA) John Heche aliwapokea wanachama wengi wa CCM walioamua kujivua magamba na kujiunga na M4C..Heche amepokea wanachama hao Mwenge jijini Dar es Salaam ambapo mkutano huo ulikuwa ukiunguruma hapo na kuhudhuriwa na mamia ya watu.

No comments:

Post a Comment