WAZIRI WA MAJI JUMANNE MAGHEMBE AMETOA SIKU 90, KWA MKANDARASI MEGHA ENGINEERING
Waziri wa
maji Jumanne Maghembe wa kwanza kulia akizungumza na wakandarasi
wanaojenga bomba la maji la Mlandizi Kimara Januari 20, 2015 mkoani
Pwani wakati alipotembelea tembelea miradi ya maji inayosimamiwa na
Mamlaka ya Maji Safi na maji Taka (DAWASA), kwalengo la kupata tathimini
ya mradi huo ulipofikia sasa.
Waziri wa
Maji Jumanne Maghembe wapili kulia akioneshwa mchoro wa mradi wa bomba
la maji mlandizi kimara linalopitia makongo juu na Mhandisi wa Mradi
huo, Bw Severin Mkendala jinsi mabomba mradi wa mlandizi kimara
yalipopita .
Waziri wa
maji Jumanne Mghembe wa pili kulia akiwa ameongozana na meneja mradi
Pintu Dutta watatu kulia wakati akikagua maendeleo ya mradi wa kituo cha
kusafisha maji cha ruvu juu .
Wafanyakazi wa kampuni ya WABAG Constraction wakiendela na ujenzi wa wa kituo cha kuasfisha maji cha ruvu juu .
WAZIRI wa
maji Jumanne Maghembe ametoa siku 90, kwa mkandarasi Megha Engineering
Infrastructure Limitedi anaesambaza bomba la maji mradi wa Mlandizi
Kimara kufanikisha mradi huo na kupeleka ripoti ya maradi,mamlka ya maji
safi na maji taka (Dawasco), kwalengo la kupata tathimini ya mradi.
Alitoa agizo hilo Januari 20, 2015 mkoani Pwani wakati akikagua miradi minne ya Dawasco,yakusambaza maji Ruvu juu na Ruvu Chini kufikisha Jijini Dar es Salaam.
Alisema,mpaka sasa mkandarasi alitakiwa aweamelaza kilomita 20,lakini chakushangaza mkandarasi huyo amelaza kilomita 12,tu.
Maghembe alisema utendaji kazi wa mkandarasi huyo ni mbovu na nimewaagiza wabadilike na nitakuja kuwatembelea baada ya siku 90,na kama hakutakuwa na maendeleo itabidi tuwafukuze.
"tumempatia mkandarasio huyu kiasi cha dola za kimarikani 59,ambao nisawa na bilioni 96 za kitanzani fedha hizi watanzania watazilipa hivyo ni vema mkandarasi huyu afanye kazi iliyomleta,"alisema Maghembe

Kwaupande
wa maradi wa Ruvu juu wa kusafisha maji Waziri Maghembe aliridhika na
utendaji kazi wa mkandarasi anayejenga mradi huo na kumtaka amalizie
kufunga pampu mpya ili mgao wa maji upungue Dar es Salaam.
Aidha alimwagiza Mkurugenzi Mkuu wa DAWASA Arcado Mutalemwa kuhakikisha pampu zilizokwama bandarini zinafika leo na kufungwa siku ya Alhamisi.
Aidha alimwagiza Mkurugenzi Mkuu wa DAWASA Arcado Mutalemwa kuhakikisha pampu zilizokwama bandarini zinafika leo na kufungwa siku ya Alhamisi.
No comments:
Post a Comment