Ungependa kujua namna wachezaji na makocha walivyopiga kura tuzo za FIFA – ingia hapa
Usiku
wa jana kule nchini Uswis ulimwengu wa soka ulishuhudia Cristiano
Ronaldo akinyakua tuzo ya mwanasoka bora wa dunia – akiwashinda Lionel
Messi na Manuel Neuer.
Kura za kuchagua mwanasoka bora wa dunia katika Ballon d’Or hupigwa na manahodha na makocha wa timu za taifa duniani kote.
Hivi ndivyo wahusika hao wa kupiga kura walivyowachagua waliona wanastahili kushinda Ballon d’Or.
Baadhi ya manahodha wa timu za taifa walivyopiga kura.
Lionel Messi (Argentina) – 1. Angel di Maria 2. Andres Iniesta 3. Javier Mascherano
Cristiano Ronaldo (Portugal) – 1. Sergio Ramos 2. Gareth Bale 3. Karim Benzema
Iker Casillas (Spain) – 1. Cristiano Ronaldo 2. Sergio Ramos 3. Thomas Mueller
Neymar (Brazil) – 1. Lionel Messi 2. Cristiano Ronaldo 3. Javier Mascherano
Bastian Schweinsteiger (Germany) – 1. Manuel Neuer 2. Philipp Lahm 3. Thomas Muller
Robin van Persie (Holland) – 1. Arjen Robben 2. Zlatan Ibrahimovic 2. Manuel Neuer
Diego Godin (Uruguay) – 1. Diego Costa 2.Thibaut Courtois 3. Arjen Robben
Ashley Williams (Wales) – 1. Gareth Bale 2. Bastian Schweinsteiger 3. Eden Hazard
Vincent Kompany (Belgium) – 1.Thibaut Courtois 2. Eden Hazard 3. Arjen Robben
Radamel Falcao (Colombia) – 1. James Rodriguez 2. Cristiano Ronaldo 3. Angel di Maria
Wayne Rooney (England) – 1. Cristiano Ronaldo 2. Toni Kroos 3. Gareth Bale
Hugo Lloris (France) – 1. Cristiano Ronaldo 2. Karim Benzema 3. Manuel Neuer
BAADHI YA MAKOCHA WA TIMU ZA TAIFA WALIVYOPIGWA KURA
Gerardo Martino (Argentina) – 1. Lionel Messi 2. Angel di Maria 3. Javier Mascherano
Marc Wilmots (Belgium) – 1. Arjen Robben 2. Manuel Neuer 3. Thibaut Courtois
Dunga (Brazil) – 1. Neymar 2. Cristiano Ronaldo 3. Zlatan Ibrahimovic
Jose Pekerman (Colombia) – 1. Jamez Rodriguez 2. Lionel Messi 3. Cristiano Ronaldo
Didier Deschamps (France) – 1. Cristiano Ronaldo 2. Manuel Neuer 3. Karim Benzema
Joachim Low (Germany) – 1. Manuel Neuer 2. Philipp Lahm 3. Bastian Schweinsteiger
Guus Hiddink (Holland)– 1. Arjen Robben 2. Thomas Mueller 3. Cristiano Ronaldo
Jurgen Klinsmann (USA) – 1. Manuel Neuer 2. Cristiano Ronaldo 3. Arjen Robben
Chris Coleman (Wales)– 1. Gareth Bale 2. Cristiano Ronaldo 3. Bastian Schweinsteiger
No comments:
Post a Comment