Watu weusi wabaguliwa Korea kusini
Tangu
kuanza kwa ugonjwa wa Ebola kumekuwapo na malalamiko ya watu wanaotoka
Barani Afrika kutengwa kwa kutopewa huduma za kijamii nchini Korea ya
kusini ikiwamo kutoruhusiwa kuingia katika Migahawa na usafiri wa umma
kwa madai ya kuwa huenda wana virusi vya Ebola.
Aidha, baadhi yao wamedai watu weusi wanaposimamisha TAXI hazisimami kutokana na hofu ya virusi hivyo vya Ebola.
nimezungumza na Kijana RWEHUMBIZA KALANGALI,ambaye ni mwanafunzi anayesoma huko Korea Kusini, na hapa anaeleza hali ilivyo.
CHANZO:BBC
No comments:
Post a Comment