TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, August 6, 2014

Kipindi cha Maswali na Majibu kati ya Rais Kikwete na Watanzania, Washington DC 

Mhe. Rais Dk Jakaya Kikwete akijibu maswali ya waTanzania
Usiku wa Agosti 2, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk Jakaya Mrisho Kikwete alikutana na waTanzania katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC
Baada ya hotuba yake, Mhe. Rais aliruhusu maswali kutoka kwa waTanzania hao

No comments:

Post a Comment